Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidiziJustus Kamugisha akionesha moja ya mapanga yaliyokamatwa na jeshi la polisi yanadaiwa kuwa yaliandaliwa kwa ajili ya kufanya vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu 2015.Picha na Kadama Malunde-Malunde1 Blog
Mawe, viroba na makombeo yaliyokamatwa na jeshi la polisi baada ya kukutwa ndani ya begi na vingine kwenye maboksi kwa ajili ya uharifu katika uchaguzi.
Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kamishina msaidizi Justus Kamugisha
akionesha bendera ya CCM iliyochanwa mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani.
Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga akionesha makombeo yanayoadaiwa kuwa yalilenga kutumika kufanyia vurugu kwenye jimbo la Solwa
No comments:
Post a Comment