Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe akaahirisha mkutano huo, hadi kesho Jumapili tarehe 18/10/2015 majira ya saa 3 asubuhi.
CHANZO: CHADEMA MEDIA
No comments:
Post a Comment