Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 20, 2015

PICHA: LOWASSA AFUNIKA KYELA MKOANI MBEYA

  Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Kyela Mkoani Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 



 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa wananchi wa Kyela Mkoa wa Mbeya katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika jumatatu  tarehe 19/10/2015 
Umati mkubwa ukimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa alipokuwa anazungumza na wananchi wa Kyela
 
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment