Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri.
*************
Onyesho la muziki la Coke Studio
ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na
wanamuziki wan je limeanza kurushwa nchini Jumamosi nchini kupitia luninga ya
Clouds ikiwajumuisha wanamuziki Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao
wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.
Baada ya uzinduzi huo zilifanyika
party za kukata na shoka katika viwanja vya maraha sehemu mbalimbali nchini
ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha zilzowajumuisha vijana
kucheza muziki,kuimba na kufurahi na kujishindia zawadi mbalimbali za Coca
Cola
Wadau mbalimbali ndani ya Coce Studio Party
Baadhi
ya mayanki waliohudhuria Coke Studio party wakiwa kwenye picha ya
pamoja kwenye ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Vijana wakishiriki kuimba Coke Studio Party mkoani Mwanza
zawadi mbalimbali zilitolewa katika party ya Mwanza kama anavyoonekana Masai akijichukulia zawadi katika party ya Mwanza
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri
Watu wa rika mbalimbali walifika CokeStdi party kupata burudani kama wanavyoonekana baadhi yao pichani mjini mwanza
No comments:
Post a Comment