Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 9, 2015

UZINDUZI WA USAJILI WA WASHIRIKI WA MBIO ZA ROCK CITY MARATHON 2015 WAFANYIKA JIJINI MWANZA

Katibu wa Chama cha Riadha Mkoa wa Mwanza (Kulia) akimkabidhi Mgeni Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo fomu namba moja kwa ajili ya Ushiriki wa Mbio za Rock City Marathoni 2015 zinazotarajia kufanyika Jijini Mwanza Novemba 15 mwaka huu.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Hiyo ilikuwa katika Uzinduzi wa Usaili wa Washiriki wa mbio hizo za Rock City Marathon 2015 ambazo zilianza kufanyika Jijini Mwanza tangu mwaka 2009.

Mbio hizo (mashindano) huandaliwa na Kampuni ya Capital Plus International na kudhaminiwa na Makampuni mbalimbali ikiwemo Mdhamini Mkuu Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF, Precision Air, Bodi ya Utalii Tanzania, New Mwanza Hotel na Bank M huku lengo lake likiwa ni kukuza mchezo huo pamoja na kuhimiza utalii wa ndani.

Fomu za Ushiriki zinapatikana katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza, katika Ofisi za Capital Plus International  zilizopo ghorofa ya tatu jengo la ACT Mtaa wa Ohio Jijini Dar es salaam na  Uwanja wa Amri Abein Jijini Arusha.
Na:George Binagi-GB Pazzo
Mgeni Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akionyesha fomu ya ushiriki wa mbio za Rock City Marathon 2015 baada ya uzinduzi wa usajili kufanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akisaini fomu namba moja kwa ajili ushiriki wa mbio za Rock City Marathon 2015 baada ya uzinduzi wa usajili kufanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Mgeni Rasmi Genzi Sahani kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Adella Lamsa ambae ni Mratibu wa Mashindano ya Rock City Marathon kutoka Kampuni ya Capital Plus International akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza

Shaban Luanda ambae ni Meneja wa NSSF akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Senthil Kumar kutoka New Mwanza Hotel akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Peter Mujaya ambae ni Katibu Chama cha Riadha Mkoani Mwanza akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Peter Mujaya ambae ni Katibu Chama cha Riadha Mkoani Mwanza akizungumza katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Lugendo Sweya amabe alikuwa mwongoza shughuli katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Lugendo Sweya amabe alikuwa mwongoza shughuli katika uzinduzi wa Usaili wa mbio za Rock City Marathon 2015 uliofanyika jana Jijini Mwanza
Mmoja wa Viongozi wa Chama cha Riadha Mkoani Mwanza akiwa katika mahojiano
Kutoka Kushoto ni Shaban Luanda ambae ni Meneja wa NSSF Mkoa wa Mwanza, Kizito Sosho Bahati ambae ni Kaimu Afisa Michezo Mkoa wa Mwanza na Genzi Sahani ambae ni Katibu Idara ya Utumishi wa Waalimu Mkoa wa Mwanza akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza
Fomu za Ushiriki zinapatikana katika Uwanja wa Nyamagana Mkoani Mwanza, katika Ofisi za Capital Plus International  zilizopo ghorofa ya tatu jengo la ACT Mtaa wa Ohio Jijini Dar es salaam na  Uwanja wa Amri Abein Jijini Arusha.
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Post a Comment