Pages

Sunday, October 18, 2015

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAIPOKEA CCM KWA MIKONO MIWILI, WASEMA MAGUFULI NI RAIS AJAYE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu.Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu..
Wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake waliojitokeza katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu. 
 

No comments:

Post a Comment