Harmonize amekuwepo katika game kwa muda na kurekodi nyimbo kadhaa kabla
hajanza kusikika kila kona. KIDONDA CHANGU ni wimbo aliyeurekodi
kipindi cha nyuma kidogo lakini hukupata airplay ambao wimbo huu ulikuwa
unastahili. Pakua wimbo hapa na ufurahie kipaji cha kijana huyu
HARMONIZE.
SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI
-
*Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayo furaha kutangaza kurejesha safari
za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Iringa kuanzia Jumamosi, 22
Februa...
49 minutes ago
No comments:
Post a Comment