Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu Tanzania ya sasa na ile tuitakayo.
Wiki hii ni ya mwisho kwa mwaka 2015, hivyo kipindi hiki kimeangaza baadhi ya yaliyotokea katika siasa za Tanzania. Studioni alikuwepo Dj Luke Joe, Said Mwamende na Mama Jessica Mushala.
Na kama kawaida, kwa njia ya simu tukaungana na wasikilizaji wengi ndani na nje ya Marekani
KARIBU
TRA KUSHIRIKIANA NA BAKWATA KUTOA ELIMU YA KODI
-
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inatarajia kushirikiana na Baraza Kuu la
Waislamu Tanzania (BAKWATA) kutoa Elimu ya Kodi ili kuhamasisha Wananchi
kulipa k...
NYAKATI NGUMU HUPITA - ALI KAMWE
-
Licha ya kipigo kutoka kwa MC Alger, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu
ya Yanga, Ali Kamwe, ameonyesha matumaini makubwa na kuhimiza mashabiki na
wan...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
-
*1. IMDB*
www.imdb.com
*2. IPP Media*
www.ippmedia.com
*3. Idhaa ya kiswahili DW.DE*
www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/s-11588
*4. Idawa Onlin...
No comments:
Post a Comment