skip to main |
skip to sidebar
AJALI YA ALTEZA YAUA MTU MMOJA
HII AJALI IMETOKEA JANA Hayo chini ni maelezo ya Kamanda Mpinga
KAMANDA MPINGA ANASEMA
"Haya ndiyo yalikuwa majibu ya RTO Kinondoni Jana nilipotoa maelekezo afuatilie;
"Nimesoma afande, naifanyia kazi.Hata hivyo ni kweli jana usiku saa 02:00hrs kuna ajali imetokea hayo maeneo ya DSTV magari 2 yaligongana na kusababisha majeruhi 2 ambapo majeruhi 1 dereva wa kati ya hizo zilizogongana amefariki alfajiri ya leo.Tukio limetokea makutano ya Tunisia
rd(njia ya kwenda leaders club na Ally H.Mwinyi.Dereva mwenye makosa ndiye aliyefariki, kwani alitokea Saint Peters kuelekea leaders club na kugongana na gari iliyokuwa inatokea Salander Bridge kuelekea Saint Peters"
Kwa maelezo hayo marehemu Edward alikuwa na makosa lkn vile vile kumbukumbu za Osterbay zinaonyesha marehemu hiyo ni Ajali yake ya pili eneo hilo hilo ! !
Ni funzo kwetu kuheshimu sheria na kuzingatia udereva wa kujihami wakati wote.
TUTAFUATILIA KUKOMESHA TABIA HII ."
No comments:
Post a Comment