Baadhi ya Maafisa wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya, wakiongoza shughuli ya Mazishi ya aliyekuwa mkurugenzi wa michezo Jeshi la Magereza Tanzania na Kocha wa zamani wa kikosi cha Tanzania Prison, Marehemu Hassan Mlwilo, yaliyofanyika kwenye kijiji cha Mabanda wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya.
MSAJILI WA MAHAKAMA AWATAKA WADAU HAKI JINAI KUSHIRIKIANA
-
Na Oscar Nkembo
Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Eva Kiaki Nkya, amezitaka
taasisi zilizopo kwenye mnyororo wa haki jinai kuendelea kushirikiana...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment