Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 4, 2016

BREAKING NEWS::BASI LA LUWINZO LAGONGA ROLI NA KUUWA WATU WAWILI PAPO HAPO

Kuna ajali ya bus la Luwinzo la Njombe-Dar ktk kijiji cha Kinegembasi Mufindi Iringa. Bus la luwinzo limeingia nyuma ya Lori na hadi sasa watu wawili wamefariki.



No comments:

Post a Comment