Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 6, 2016

DKT. MWAKYEMBE ATEMBELEA OFISI YA MKURUGENZI WA MASHTAKA (DPP)

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon Mpanju,  5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
Mkurugenzi wa mashtaka Biswalo Mganga akieleza mbele ya Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe (kushoto) pamoja na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) moja ya kazi walizozifanya ikiwemo kuwashataki waliopatikana na hatia ya madawa ya kulevya pamoja na uchomaji wa moto madawa hayo yaliyokamatwa kwa mwaka uliopita wa 2015 wakati walipokutana na Waandishi wa Habari 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam. 

 
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka Waziri wa Katiba na Sheria pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka (hawapo pichani)  5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment