Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru ,katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa
katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akimsalimia moja wa watoto wanaouguzwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa
katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini.
Ubunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari Akisikiliza kero za wagonjwa wanaoitibiwa katika Hospitali ya Tengeru, katika ziara yake alipofika kusikiliza matatizo yanawakumba wagonjwa haswa wakina mama waliolazwa
katika hospitali ya tengeru alipofanya ziara ya ghafla hospitalini hapo
picha zote na woinde shizza wa libeneke la kaskazini blog
No comments:
Post a Comment