Pages

Saturday, January 2, 2016

Mazoezi ya Kitaifa ya Bonaza la Matembezi ya Wanamichezo wa Zanzibar Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika Matembezi ya Bonaza la Wanamichezo wa Zanzibar akiongoza matembezi hayo yalioazia katika viwanja vya Matumbnaku Miembeni na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar kutoka kulia Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdalla Mwinyi Khamis, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Zanzibar Bi Shariff Khamis Raiswa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Mwenyekiti wa Umoja Mazoezi Zidi , Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi Hamad, Waziri wa Kilimo na Mali Asili Mhe Sira Ubwa Mwaboya na Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B Ayoub Mohammed Mahmoud.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.
Zanzinews.com


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea matembezi ya Wanamichezo mbalimbali walioshiriki matembezi hayo ya Kitaifa ya Bonaza la Michezo 

 
Zanzibar yaliowashirikisha Wanamichezo kutoka Ungua Pemba na Dar es Salaam wakiingia katika viwanja vya Amaan kumalizia matembezi hayo na kumalizia katika viwanja vya Amaan Zanzibar kwa ajili ya mazoezi ya viungo.





























No comments:

Post a Comment