Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 2, 2016

PICHA 1O ZA SHOW YA ALI KIBA NCHINI KENYA

20160101122959
Wiki moja iliyopita December 26 2015 ilikuwa siku ya kumshuhudia King Kiba kwenye stage Escape 1 Dar es Salaam alipoangusha mzigo mzima wa show ya funga mwaka !!
Kazi haikuwa ndogo… Alikiba alishambulia kwa uzito wa juu stage ikitawaliwa kwa live show yenye support ya bendi iliyokamilika pamoja na dancers kadhaa.
20160101122959 (2)
Kazi ya funga mwaka na King Kiba imekamilika ndani ya Machakos Kenya usiku wa jana ambapo maelfu ya Wakenya walikusanyika kushuhudia burudani hiyo huku wakipiga shangwe la kuumaliza mwaka 2015 na kuupokea 2016.

 






20160101122959 (1)      20160101123002 (2)    20160101123005   20160101123926


No comments:

Post a Comment