Serikali immempatia zawadi ya kiwanja na pesa ambazo thamani yake haijajulikana mchezaji bora wa Afrika Mbwana Samatta, Hayo yalisemwa jana na Mgeni Rasmi katika halfa hiyo Waziri William Lukuvi. Sherehe hizo zilifanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar.
Waziri wa Michezo Nape Nnauye akiwa na wazazi wa Mbwana Samatta
Mwakilishi wa Vodacom akitoa neno
Mchezaji Thomas Ulimwengu akifurahia jambo na mdau.
Mbwana Samatta akimpa zawadi ya jezi Waziri Lukuvi
WAZIRI DKT. CHANA ACHANGIA MILIONI 6 KUWEZESHA SHUGHULI ZA UWT LUDEWA
-
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Mhe.
Balozi, Dkt. Pindi Chana, Januari 11 2025 ameshiriki katika Baraza la Umoja
wa W...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment