Meli ambayo imebeba maelfu ya vitabu, ambayo huhudumu kama
maktaba, imetia nanga bandarini Dar es Salaam.Meli hiyo ina zaidi ya vitabu
5,000 pamoja na video.
Mfumo wa Manka kuimarisha huduma za kifedha katika utoaji wa mikopo
-
*Mfumo ni kwa ajili ya kuchakata taarifa za fedha.
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
Tausi Africa imezindua rasmi Manka ambao ni mfumo wa uchambuzi wa kifedha...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment