Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa
kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe
kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama ilivyokuwa hapo zamani.
Adai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani
(NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao
kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi.
Source.Radio one.
No comments:
Post a Comment