Pages

Monday, February 15, 2016

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. MAGUFULI


Wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili wakihamisha vitendea kazi vyao katika katika jengo waliokuwa wakilitumia Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto kuhamisha ofisi zao na kuliacha kwa ajili ya matumizi ya wodi ya wazazi.

 

No comments:

Post a Comment