MSANII anayejulikana kwa kurap kama mlevi, John Woka, amepata ajali ya
kulipukiwa na mtungi wa gesi. Kwa sasa amelazwa kwenye hospitali ya
taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Walikuwa wanahangaika kurekebisha usafiri kwenye garage hapo Sinza, sasa
katika kuhangaikia upande wa AC mtungi wa gas ukalipuka,moja ya vipande
vya chuma chenye ncha kali kikamchoma kichwani. Madaktari wanahofia
imefika mbali kiasi kwamba damu inamwagikia kwenye ubongo.
Mpaka hapa bado hajapata fahamu,mipango ya matibabu inaendelea.
Tunasubiri kuambiwa kinachotakiwa kufanyika na mahitaji. Hospitali pale
yupo kaka yake ambaye anapatikana kwa number ya Woka +255767007005 na
mzee wake,kwa yoyote ambaye angependa kufika,kujua kinachoendelea au
kuchangia chochote anaweza kumpigia tu moja kwa moja
NMB YATOA PONGEZI KWA JESHI LA POLISI MKOA WA SONGWE
-
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Augustino Ignace Senga akipokea zawadi mbalimbali za ofisi ikiwa ni
pamoja...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment