Pages

Thursday, February 18, 2016

KAMPUNI YA NIKE WASITISHA MKATABA NA BONDIA MANNY PAQUIAO

 Kampuni maarufu duniani ya kutengeneza viatu na nguo Nike wamesitisha mkataba wao na bondia Manny Paquiao baada ya bondia huyo kutoa maneno makali kuhusiana na mahogany kwa kusema watu 



wanaoshiriki mapenzi ya Jinsia moja ni kama wanyama.Baadae bondia huyo aliomba msamaha kwa Kauli Yake hiyo.

No comments:

Post a Comment