Pages

Thursday, February 4, 2016

MAKAMU RAIS MHE. SAMIA AKUTANA UJUMBE KUTOKA OLAM TANZANIA LIMITED LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Ujumbe kutoka Olam Tanzania Limited wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 04, 2016. 

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Olam Tanzania Limited wakati ujumbe huo ulipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini kwake Ikulu Dar es salaam leo Februari 04, 2016.(Picha na OMR). 

No comments:

Post a Comment