Pages

Tuesday, February 16, 2016

TAZAMA MAHOJIANO YA FATEMA DEWJI NA DKT. TRISH SCANLAN KUHUSU SARATANI YA WATOTO

12657290_924834070946379_5524332952045134125_o

Muongozaji wa kipindi Educate, Empower and Inspired kinachorushwa na IBN-TV katika king'amuzi cha Dstv, Fatema Dewji-Jaffer.

Februari, 15 huadhimishwa Dunia nzima kama Siku ya Saratani ya watoto. Kila mwaka watoto 250,000 na vijana chini ya miaka 20 hupatikana na saratani. 80% ya hao hutoka nchi zinazoendelea, wengi wao hawajatambuliwa wala kutibiwa. Katika nchi zinazoendelea watoto wengi wanakufa. Saratani ya watoto inatibika!
Ilikuwa ni heshima kubwa kwangu kupata fursa ya kumhoji Dr. Trish Scanlan ambaye anaendesha idara ya watoto katika hospitali ya Taifa ya ­Muhimbili. Tangu ajiunge mwaka 2008, pamoja na timu yake yenye ari kubwa ya madaktari na 
 
wauguzi wa Tanzania, viwango vya muda mfupi maisha ya watoto na kansa umeongezeka kutoka 12% hadi 60%.
Kuwa sehemu ya mpango wa kutambua Saratani duniani. Pamoja tulete umakini katika suala hili na kuhakikisha kwamba watoto kila mahali wanapata huduma bora za saratani utotoni. #worldwidechildhoodcancerday.
Tazama mahojiano kati yangu na Dr. Trish Scanlan hapa chini;

No comments:

Post a Comment