Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
JAMII YAASWA KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO
-
Jamii imeaswa kuendelea kuchukua tahadhari za kujikinga na Magonjwa ya
mlipuko ikiwemo Marburg.
Hayo yamebainishwa na Afisa Lishe kutoka Halmashauri ya W...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment