Pages

Friday, March 18, 2016

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA ADC Mhe. Hamad Rashid Mohamed akutana na wapiga kura wake PEMBA


 Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ADC Mhe.  Hamad Rashid Mohamed akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa chama hicho katia ya 13, kwenye kutano uliofanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba
 Mlezi wa chama cha ADC Pemba, Shoka Khamis, akizungumza kwenye mkutano wa wanachama, wagombea na mawakala wa chama hicho, uliofanyika Chuo cha Amali 

 
Vitongoji Chakechake Pemba, na kuhutubiwa na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho Mhe. Hamad Rashid Mohamed
 Wanachama wa chama cha ADC, pamoja na wagombea na mawakala wao, wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano wa chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba, mkutano huo ulihutubiwa na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama hicho, Mhe. Hamad Rashid Mohamed
 Kaimu Mkurugenzi wa uchaguzi wa chama cha ADC Tanzania Omar Constantine Wilbert, akizungumza kwenye mkutano wa wanachama, wagombea na mawakala wa chama hicho, uliofanyika Chuo cha Amali Vitongoji Chakechake Pemba
 Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Hamad Rashid Mohamed, akizungumza na wanachama, wagombea na mawakala wa chama hicho, kwenye kutano wa hadhara, uliofanyika chuo cha Amali Vitongoji Chakechake, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment