Pages

Wednesday, March 16, 2016

WAZIRI MKUU KHASSIM MAJALIWA ATOA POLE KWA PROFESA ANNA TIBAIJUKA KWA KUFIWA NA MAMA YAKE


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa zilizokaangwa maarufu kwa jina la 'akamwani' ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka mjini Muleba kutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kiwasalimia wnanchi wa eneo la Benaco 

 
wilayani Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi, 2016.

 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment