Pages

Tuesday, October 25, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AMKARIBISHA MFALME MOHAMED VI WA MOROCCO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, MIKATABA 21 YA USHIRIKIANO YASAINIWA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakilakiwa na wafanyakazi pamoja na wageni mbalimbali katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakipigiwa  ngoma pamoja na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga wakisoma muhtasari wa shudhuli  katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya  uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakimsikiliza  Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage  katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kabla ya  uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour akiongea
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem Bensalah-Chaqroun akiongea
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI  pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam kushuhudia uwekaji saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.
 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakibadilishana hati na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour baada ya kutiliana saini makubaliano ya jumla katika mashirikiano ya Kiuchumi, Kisayansi, Kiufundi na Kiutamaduni baina ya serikali ya nchi hizo mbili
 Maafisa wahusika wakiweka  saini Mikataba ya ushirikiano 21 kati ya nchi hizo mbili.

 Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa Air Tanzania Eng. Ladislaus Matindi akibadilishana hati ya mkataba wa makubaliano na afisa wa Shirika la ndege la Morocco
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Profesa  Makame Mbarawa wakibadilishana hati na Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Morocco Mhe. Salahddine Mezour baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano katika sekta za gesi, nishati, madini na Sayansi ya miamba
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja kadogosa akibadilishana hati  na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Tanzania Bw. Sam kamanga wakiweka saini
 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mhe. Charles Tizeba na Waziri wa Kilimo wa Morocco Mhe. Aziz Akhannouchi wakipeana mikono baada ya kutia saini makubaliano ya Ushirikiano katika miradi ya Mtangamano wa kuwasaidia Wakulima wadogo Tanzania
 Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Morocco Bi. Miriem Bensalah-Chaqroun akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Taaisi ya Sekta Binafsi Tanzania Bw. Godfrey Simbeye
 Maafisa wakipeana mikono baada ya kusaini hati za makubaliano
 Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa akibadilishana hati za makubaliano na Mwenyekiti wa MASEN Bw. Moustapha Bakkoury
 Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. Hicham Belmrah
 Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maeneo Maalumu ya Uwekezaji Bw. Joseph Leon Simbakalia akibadilishana hati za makubaliano na Mkrugenzi Mkuu wa SNTL Group ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Bw. Masanja kadogosa akibadilishana hati  na Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Usafirishaji ya Taifa ya Morocco Bw. Mohamed Ben Ouda baada ya kutiliana saini makubaliano ya Mashirikiano
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Superstar Forwarders Bw. Seif A. Seif akibadilishana hati ya Mkataba wa Mkopo na Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati
Mkurugenzi wa CCBRT Bw. Telemans Erwin akibadilishana  hati ya Mkataba wa Mkopo na Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati
 Naibu Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Tanzania Bi. Brenda Msangi akipeana mikono Mkurugenzi wa Benki ya Afrika (BOA) Bw. Amine Bourati

Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Bi. Tonia Kandiero kibadilishana hati za Mkataba wa Ubia na Mwenyekiti Mtemdaji Mkuu wa Benki ya Centrale Populaire ya Morocco Bw. Mohamed BenChaaboun
 Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Sam Kamanga akibadilishana hati za makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bima la Morocco Bw. Hicham Belmrah
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongea wakati a Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 

Wageni wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Wageni wakifurahia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Wageni wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB  Dkt. Charles Kimei na wageni wengine wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  wakati akiongea katika  Dhifa ya Kitaifa aliyomwandalia mgeni  wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda akiwa na watangazaji mashuhuri wa Clouds 360 Baby Kabaye na Bw. Samwel Sasali ambao pia walihudhuria hafla hiyo Ikulu
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii(TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania Bi Devota Mdachi na Meneja Masoko wa TTB Bw. Geofrey Meena na maafisa waandamizi wa bodi hiyo walikuwepo pia
Mpiga picha wa Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI akifurahia ngoma za utamaduni
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimlaki  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI alipowasili kwa dhifa ya Taifa Ikulu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na   mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na meza kuu wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa kwenye  dhifa ya Taifa Ikulu

Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na wageni wakati wa nyimbo za Taifa
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na wageni 
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume na wageni
Mawaziri na wageni
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara na Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa

Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Wageni waalikwa wakisimama wakati wa nyimbo za Taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid karume  kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha viongozi wa dini  kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwatambulisha mawaziri kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulishaWaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtambulisha Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe Hamad Rashid Mohammed  kwa  mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI wakati wa dhifa ya Taifa Ikulu
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na viongozi wengine wakiangalia ngoma za utamaduni mara baada ya dhifa ya kitaifa ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na viongozi wengine wakiangalia kundi la Usambara Mountain Brass Band  mara baada ya dhifa ya kitaifa ukumbi wa mikutano wa  Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na  Mtukufu Mfalme wa Morocco Mohamed VI na mkewe Mama Janeth Magufuli kabla  ya mgeni kuondoka
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na mkewe Mama Janeth Magufuli baada ya mgeni kuondoka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na mkewe Mama Janeth Magufuli baada ya mgeni kuondoka. PICHA NA IKULU

1 comment: