Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Beatrice Fungamo (katikati) akimkabidhi Mwakilishi
wa Makao ya Watoto Kurasini wilayani Temeke Bibi Beatrice Mgumiro
mbuzi watatu, kilo 150 za mchele na lita ishirini za mafuta ya kupikia ikiwa
ni zawadi ya Krismas zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Zawadi hizo ambazo ni mbuzi,
mchele na mafuta zilitolewa jana na Rais Kikwete ili kuwakumbuka watoto
walio katika makundi maalum ili nao washerehekee sikukuu kwa furaha.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Beatrice Fungamo (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Kituo cha Mahabusu ya Watoto Ramadhani Yahaya (kulia) mbuzi wawili (2), kilo 100 za mchele na lita ishirini za mafuta ya kupikia ikiwa
zawadi ya Krismas zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Zawadi hizo ambazo ni mbuzi,
mchele na mafuta zilitolewa jana na Rais Kikwete ili kuwakumbuka watoto
walio katika makundi maalum ili nao washerehekee sikukuu kwa furaha.
Kaimu Kamishna wa Ustawi wa Jamii Beatrice Fungamo (kushoto) akimkabidhi Msaidizi wa Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima Msimbazi Sister Maria Silvana (kulia) mbuzi watatu, kilo 100 za mchele na lita ishirini za mafuta ya kupikia ikiwa
zawadi ya Krismas zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Zawadi hizo ambazo ni mbuzi,
mchele na mafuta zilitolewa jana na Rais Kikwete ili kuwakumbuka watoto
walio katika makundi maalum ili nao washerehekee sikukuu.
Kaimu
Kamishna wa Ustawi wa Jamii Beatrice Fungamo (kushoto)
akimkabidhi Mkurugenzi WA Kituo cha Vosa Mission Hochimin Mugarura
(kulia) mbuzi wawili, kilo 100 za mchele na lita ishirini za mafuta ya
kupikia ikiwa zawadi ya Krismas zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Zawadi hizo ambazo
ni mbuzi, mchele na mafuta zilitolewa jana na Rais Kikwete ili
kuwakumbuka watoto walio katika makundi maalum ili nao washerehekee
sikukuu.
Picha na MAELEZO, Dar es salaam

No comments:
Post a Comment