Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Waziri Mwandamizi wa Mambo ya
Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake jana .
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Naibu Waziri Mwandamizi wa
Mambo ya Nje wa Japan Norio Mitsuya alipomtembelea ofisini kwake
jana.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
No comments:
Post a Comment