Pages

Tuesday, July 21, 2015

KMKM YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 3-1 KUTOKA KWA GOR MAHIA

Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Mateo Simon, akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Gor Mahi ilishinda 3-1. (Picha na Francis Dande). Beki wa Gor Mahia, Karim Nizigiyimana akimtoka  Juma Mbwana Faki.
 Mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Juma Mbwana Faki akimtoka kipa wa Gor Mahia ya Kenya, Boniface Oluoch.
 Mchezaji wa KMKM, Pandu Haji Pandu akimtoka beki wa Gor Mahia ya Kenya, Mussa Mohamed. Pandu Haji Pandu akimtoka Erick Ochieng Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.Mshambuliaji wa KMKM, Mateso saimo akimtoka Michael Olunga.Wachezaji wa Gor Mahia ya Kenya wakiomba dua pamoja na wachezaji wa KMKM ya Zanzibar baada ya kumalizika kwa mchezo.

No comments:

Post a Comment