Pages

Tuesday, July 21, 2015

PICHA ZA IRENE UWOYA ALIPOCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE TABORA


Msanii  wa  Bongo  movie, Irene  amechukua  fomu  ya  kugombea  ubunge  wa Viti  Maalum  kwa  tiketi  ya  CCM  huko  Tabora.
 

Hizi  ni  picha  alizotutumia  wakati  akikabidhiwa  fomu  hiyo.

No comments:

Post a Comment