Pages

Monday, November 21, 2011

ACTOR AKI TOKA NIGERIA....KUFUNGA NDOA...DECEMBER!


....AKI NA UKWA....
Mmoja wa actors wakali wa comedy toka NollyWood,Chinedu Ikedieze aka Aki aka andunje anatarajiwa kufunga ndoa tarehe 10 December,2011
....AKA SHEMEJIIIIII....
Aki alipata sana umaarufu akiwa na andunje mwenzake,Osita Iheme aka Ukwa kwenye movie za comedy ncihini Nigeria na anatarajiwa kufunga ndoa na Sweetheart wake Nneoma Nwaijah,ambaye amehitimu Enugu State University of Technology,na ndoa yao hiyo itanguliwa na ndoa ya kimila mwezi November
....MR & MRS TO BE....

No comments:

Post a Comment