Pages

Monday, November 21, 2011

RAPPER CMB PREZZO....AMSANUA DEMU WAKE MPYA...!


JACKSON MAKINI - CMB PREZZO
The King of Bling toka Kenya,Jackson Makini aka Rapper CMB Prezzo amemsanua rasmi girlfriend wake anayekwenda kwa jina la Joy Wanjohi ambaye alikua anafanya kazi Phat Magazine

PREZZO vs JOY WANJOHI
Prezzo kwa sasa ana-bang na track mpya ya Fo Sure Fo Shizzle,amefunguka zaidi kuwa uhusiano wa yeye na Joy ni kama wa Wiz Khalifa naAmber Rose na wamekua wakitoka na Joy Wanjohi kwa muda wa mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kutemana na ex-wife wake Daisy Kiplagat

No comments:

Post a Comment