Pages

Wednesday, November 9, 2011

Baada ya JAY Z & KANYE, sasa ni WYNE & DRAKE!

Lil Wyne & Drake
wakali wa HIP HOP kutoka kwenye lebo inayowabeba washkaji wenye swagg CASH MONEY, rapa DRAKE na mwenzake LIL WYNE, wameelezea kuhusu mpango wa kufanya COLLABO ALBUM kama WATCH THE THRONE.
akichonga na XXL magazine, Drake amesema hawajali japo watu wataona kwamba wamewaiga JAY Z na KANYE WEST, ila hiyo IDEA walikua nayo kitambo hata kabla ya J & Kanye kutoa WTT.
mpango bado upo, na DRAKE ameahidi kwamba wanaanza kuifanyia kazi hiyo plan.
japo Album mpya ya DRAKE, Take care inashuka kwenye mitaa nov 15 mwaka huu, mshkaji amesema yuko kwenye line nyingine ya kufanyia kazi mixtape yake na RICK ROSS inaitwa ‘Y.O.L.O.’ au ‘You Only Live Once.’
hizo ndio sentensi za DRAKE kwa leo, mshkaji ambae haoni soo kuwa kwenye mapenzi na mrembo aliyemzidi umri.
toka ameanza malavi lavi, warembo wake wote wamekua na umri unaomzidi, lakini haoni soo hata kusema hadharani, LIFE GOES ON aisee!! na wala sio kwamba analelewa, anafeel tu kwamba mwanamke mkubwa hafananishwi hata kidogo na mrembo mwenye umri mdogo! kuna raha zake……….!!

No comments:

Post a Comment