Anaweza kuwa na miaka 6 tu lakini Cruz Beckham tayari ameshaanza kufuata nyayo za baba yake.
Cruz tayari ameshaanza kucheza soka lakini inaonekana tayari ameshaanza kufuata mitindo ya nywele ya zamani ya mzazi wake.
Cruz alionekana jana akiwa anacheza soka huku kichwani akiwa kanyoa mtindo wa “kiduku” ambao Beckham alinyoa miaka 10 iliyopita
Mtoto
huyo mdogo kabisa wa kiume wa Beckham, pia style yake ya nywele
imeonekana kufanana na na style ya Roberto De Niro katika filamu ya Taxi
Driver.
Cruz pia anajulikana kwa kupenda kuchora temporarly tattos – kitu kingine ambacho amekiiga kutoka baba yake.
No comments:
Post a Comment