Pages

Thursday, November 3, 2011

BREAKING NEWS: MOSES BASENA AFIWA NA MAMA YAKE





Simanzi inazidi kutawala katika mitaa ya msimbazi baada ya kocha mkuu wa timu hiyo Mganda Moses Basena kufiwa na mama yake mzazi, kwao Uganda.
Mama yake Basena ambaye alikuwa anaugua kwa muda mrefu kiasi cha kupelekea kocha huyo kuondoka jana kuelekea kwao kwenda kumuona mama yake.
Taarifa tulizozipata kutoka mtaa wa msimbazi zinasema kuwa mama wa kocha huyo amefariki leo asubuhi katika moja ya hospitali kubwa jijini kampala-Ug.
Blog hii inatoa pole kwa Moses Basena, klabu ya Simba na wapenzi WA SOKA kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment