BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM
majeruhi
wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa
kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani,
mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja
wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel
Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya
kupigwa risasi kwenye mkono.
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka
Breaking Nuuuz: Machafuko Makubwa Mwanjelwa Mkoani Mbeya Polisi na Machinga wapigana vikali
Polisi wakijaribu Kuzuia Ghasia katika eneo hilo na kufukuza Wamachinga
Baadhi ya wananchi wakiwa wameokoka katika eneo hilo
Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo
Picha zote na Mpiga picha wetu maalum
No comments:
Post a Comment