Mabaki ya Mguu ya Muendesha Bodaboda wa Mkoani Mwanza Akiwa amegongwa la Lori. Ajali Hii ni mbaya sana.Ajali Hiyo imetokea mara baada ya Muendesha Pikioiki Huyo Kuendesha Bila Kufuata Sheria za Usalama barabarani na Ndipo Lori Hilo Lilompitia na Kumjeruhi Vibaya.Picha na The Best blog
wanaotumia bodaboda wawe makini na madereva wanaowabeba,pia muwe mnawapa mashariti na juu ya speed wanazoenda nazo,kwa mfano unakuta bodaboda kakaa kijiweni hana hili wala lile,ukimchukua tu mara anaanza kukimbiza pikipiki mi huwa nawauliza unawahi wapi na wakati nimekukuta umekaa kijiweni
Watanzania wenzangu tueni makini na hivi vyombo vya usafiri maana huyu aliepata hii ajali hana tofauti kati ya mimi na wewe.Ni hayo tu nawatakia siku njema na kazi njema katika kulijenga taifa letu.
jamani muwe mnafanya utafiti kabla ya kupost habari, habari zilizopo hapo sio za kweli. aliyejeruhiwa sio mwendesha bodaboda bali abiria aliyebebebwa, na chanzo na jinsi kilivyotukia sivyo ilivyo. kuweni makini na mnachoaandika.
ReplyDeleteWashazoea kucopy na kupaste
ReplyDeletebalaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete