Pages

Tuesday, November 8, 2011

MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA KUTOKA MAREKANI

MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AREJEA KUTOKA MAREKANI.

Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akipeana mikono na waheshimiwa na wananchi mbalimbali waliompokea hapo katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea marekani kwa ziara ya kikazi.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa Habari hapo katika ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi katika ziara yake ya kikazi nchini Marekani.
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akimsikiliza muandishi wa habari Farouk Karim katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa uwanja wa ndege wa Zanzibar mara baada ya kurudi safari yake ya kikazi nchini Marekani.
PICHA NA HAMADI HIJA -MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment