Rais
Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince
Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa
waliyowaandalia jana usiku Ikulu jijini Dar es salaam, hapa Rais Kikwete
na Mke wake Mama Salma na wageni wao wakipiga makofia mara baada ya Rais Kikwete kusoma hotuba yake.
Picha na Ikulublog
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo
Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall
Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiwa na wageni wake pamoja na Makamu wa Rais
Dkt Mohamed Gharib Bilal na mkewe, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na mkewe
pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Balozi Peter Kallaghe
Duchess of Cornwall na Prince Charles wakiangalia zawadi waliyopewa na Mama Salma Kikwete
Kikundi cha ngoma cha Msewe kikitumbuiza katika dhifa hiyo
No comments:
Post a Comment