Mkutano wa hadhara ulioitishwa
na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, umevunjwa, baada ya
wafuasi wake kushambuliwa na vijana kwa mapanga, mitarimbo na mawe.
Fujo dhidi ya MDC zimezidi katika majuma ya karibuni wakati matayarisho yanaanza kwa uchaguzi unaotarajiwa kufanywa mwaka ujao.
No comments:
Post a Comment