Mshindi wa kwanzawa Kilomita 140 wa mbio za baiskeli za “Vodacom Tanga cycle Challenge “Hassan Sharif akimaliza mbio hizo kwa kwa kutumia masaa 4.13.07 .ambapo mbio hizo zilianzia katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga hadi Hale na kurudi katika uwanja huohapo jana.
Naibu Meya wa Mkoa wa Tanga Seleboss Mustafa akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi laki moja Mshindi wa kwanza wa mbio za Vodacom
Tanga Cycle Challenge wa kilomita 80,Kadushi Nkandi (kulia) mara baada
ya kuibuka kidedea katika mbio hizo wapili toka kushoto Afisa Udhamini
wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude na msimamizi wa mawakala kanda ya
Kaskazini Michael Kasun.
Naibu Meya wa Mkoa wa Tanga Seleboss Mustafa akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi laki mojana nusu Mshindi wa kwanza wa mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge wa kilomita 140,Hassan Sharif (kulia) mara baada ya kuibuka kidedea katika mbio hizo kwa kutumiamuda
wa masaa 4:13.07 wapili toka kushoto Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania
Ibrahim Kaude na msimamizi wa mawakala kanda ya Kaskazini Michael
Kasun.
Mwaandaaji wa Mbio za baiskel za Vodacom Tanga Cycle Challenge Sophy
Wakati akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano na Habari za Mtandao wa
Vodacom Tanzania Matina Nkurlukushoto kabla ya mbio hizo kuanza,wa pili kutoka kushoto Buruhani Yakub ambae niMwandishi wa Habari wa Mwananchi Communication na Afisa Udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
Washiriki mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge kwa upande wa walemavu wakimaliza mbio hizo hapo jana mjini Tanga.
Baadhi ya washiriki wa mbio za baiskel za Vodacom Tanga Cycle
Challenge wa kilometa 140 wakichuana vikali hapo jana mjini Tanga
ambapo Hassan Sharif aliibuka mshindi kwa kutumia masaa
Baadhi ya washiriki wa mbio za baiskel za Vodacom Tanga Cycle
Challenge wa kilometa 140 wakichuana vikali hapo jana mjini Tanga
ambapo Hassan Sharif aliibuka mshindi kwa kutumia masaa
Washindi
wa kwanza na wapili wa mbio za Vodacom Tanga Cycle Challenge kwa
upande wa kilometa 80 wakimaliza mbio hizo,ambapo Kudushi Nkandikushoto aliibuka mshindi na Mohamed Bundala akawa mshindi wa pili.
No comments:
Post a Comment