Mara
baada ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. Jakaya Kikwete kukagua vikosi vya
ulinzi na usalama na vikosi hivyo kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu
huyo, kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania leo katika
uwanja wa Uhuru, yalifuatia maonyesho ya vifaa vya kijeshi
vilivyoonyeshwa na jeshi tukufu la Tanzania JWTZ, ambapo askari wa jeshi
hilo wakiwa wakakamavu, walipita na kuonyesha vifaa vya kivita kama
linavyoonekana na gari hili ni la Rada hutumiwa na jeshi la wanamaji
likiwa na
Haya ni Magari maalumu yanayotumiwa na wanajeshi wa majini kama yanavyoonekana.
Haya ni magari ya kulinda amani katika programu za umoja wa mataifa.
haya ni magari ya makombora ya masafa marefu.
Vifaru vinavyopiga masafa marefu.
Vifaru vya Doria
Magari haya maalum pia ni kwa ajili ya Doria
Hili ni gari maalum kwa ajili ya madaraja
Hili ni gari lililotengenezwa na kiwanda cha Nyumbu kinachomilikiwa na JWTZ.
Hili ni gari lililotengenezwa na kiwanda cha Nyumbu kinachomilikiwa na JWTZ ambalo kazi yake kubeba mizigo .
No comments:
Post a Comment