HABARI ZA UHAKIKA
ZILIZOTUFIKIA MUDA SI MREFU TOKA KWA FAMILIA YA MAREHEMU MR EBBO NI
ZIFUATAZO... ALIFARIKI JANA USIKU SAA TANO KTK HOSPITALI YA MISSION USA
RIVER, ALIKUA NA TATIZO LA KUPUNGUKIWA DAMU NA KILA WALIPOMUONGEZA
TATIZO LIKO PALE PALE MAZISHI YAFANYIKA JUMATATU NYUMBANI KWAO ARUSHA...
KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUWA NAMI. UPDATES ZIFUATAZO...msiba kwa
pale Tanga utakuwa upo nyumbani kwa wazazi wake maeneo ya kisorora
jirani na nyumbani kwake Mr Ebbo pia jirani na kwa Dr John wa wagosi wa
kaya marehemu ameacha mke na watoto wawili wote wanawake
No comments:
Post a Comment