Pages

Wednesday, February 22, 2012

KWA MLIODHANI CHRIS BROWN KAACHANA NA MPENZI WAKE!


Baada ya Chris Brown kuanza kuwasiliana wazi wazi na Rihanna kupitia twitter siku chache tu baada ya Cris kuhudhuria birthday bash ya Rihanna, kulizuka stori kwamba wapenzi hao wa zamani wamerudiana kutokana na jinsi walivyoonekana kwenye hiyo party wakishikana mikono na kukumbatiana, kitendo kilichofanya watu wahisi kwamba Chris na mpenzi wake Karrueche Tran wameachana, ila sio kweli kwa sababu hizi picha wamepigwa juzi huko Miami Beach wakiwa wanaenjoy pamoja.
Karrueche Tran akiwa na best friend.
(picha zote zimetoka kwa Necole)

No comments:

Post a Comment