Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, March 5, 2012

Ajali yaua 6 na kujeruhi 46 Kibaha mkoani Pwani

Jana jioni ajali mbaya iliyogharibu maisha ya watu 6 na wengine 46 kujeruhiwa ilitokea mkoani Pwani kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vilivyoripoti leo hii. Kama hamkupata taswira baadhi ya picha zilizopo hapa chini zitawaonesha jinsi hali ilivyokuwa. Baadhi ya picha hatukuweza kuzituma kwa sababu ya maadili na heshima ya utu wa mwanadamu.

No comments:

Post a Comment