Jana jioni ajali mbaya iliyogharibu maisha ya watu 6 na wengine 46
kujeruhiwa ilitokea mkoani Pwani kama ambavyo baadhi ya vyombo vya
habari vilivyoripoti leo hii. Kama hamkupata taswira baadhi ya picha
zilizopo hapa chini zitawaonesha jinsi hali ilivyokuwa. Baadhi ya
picha hatukuweza kuzituma kwa sababu ya maadili na heshima ya utu wa
mwanadamu.
No comments:
Post a Comment