Mhe.
Mwai Kibaki, Rais wa Kenya akipokelewa na Mhe. Bernard K. Membe, Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara alipowasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) jana kwa ajili ya
kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
utakaofanyika mjini Arusha tarehe 28 Aprili, 2012.
Mhe. Rais Kibaki akifurahia burudani ya ngoma mara baada ya kuwasili KIA.
Mhe.
Rais Kibaki akiwa na wenyeji wake Mhe. Membe (kulia) na Waziri wa
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Samwel Sitta (kushoto) mara baada
ya kuwasili KIA.
Mhe.
Yoweri Museveni, Rais wa Uganda akisalimiana na Mhe. Samwel Sitta,
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki mara baada ya kuwasili KIA kwa
ajili ya kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki tarehe 28 Aprili, 2012.
No comments:
Post a Comment