Msanii
wa Muziki wa Kizazi Kipya,Diamond akizikonga nyonyo za mashabiki wake
kwa moja ya nyimbo zake usiku huu,kwenye hafla ya jioni ya washiriki wa
Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Diamond akiendelea kutoa burudani kwa Mashabiki wake.
Diamond
akiwa amenyanyliwa juu juu na Madansa wake,ikiwa ni sehemu ya burudani
kwa mashabiki wake ndani ya ukumbi wa hoteli ya Gold Crest,Jijini
Mwanza.
Diamond akigombewa na Mashabiki wake kama mpira wa kona.
Mwanamuziki
Mkongwe wa Bendi ya The Kilimanjaro a.k.a Wana Njenje,Nyota Waziri
akiimba nyimbo yake ya Gere wakati wa hafla ya jioni ya washiriki wa
Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini,iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza usiku huu.
Nyota akiwataka wapenzi wa wimbo wa Gere kutengeneza Duara ili kunogesha kucheza kwa muziki huo.
Burudani imekolea.
Msema Chochote kwenye hafla hii,Akiliwa ni Maulid Kitenge.
Wadau.
No comments:
Post a Comment