MWILI WA MAREHEMU UKISHUSHWA KABURINI
Mama
mzazi wa marehemu Steven Kanumba Bi. Flora Mgoa akiuaga mwili wa
mwanaye kwa mara ya mwisho kabla ya kuzikwa rasmi katika makaburi ya
Kinondoni.
Mama
mzazi wa marehemu Steven Kanumba Bi. Flora Mgoa na ndugu wa karibu
wakiaga mwili wa marehemu kwa mara ya mwisho makaburini Kinondoni.
Wajenzi wa kaburi la marehemu wakichanganya Sementi kwa ajili ya kufukia.
Maskari wa kusimamia usalama wakiweka uzio kwa ajili ya kuhakikiosha usalama katika mazishi hayo.
Polisi wakiweka ulizi wa kutosha katika mazishi hayo.
Kamanda
wa Kanda Maalum ya kipolisi mkoa wa Dar es salaam Kamanda Suleiman Kova
akizungumza na waombolezaji makaburini Kinondoni.
Mwanamitindo
maarufu mtanzania anayefanya kazi zake za mitindo nchini Marekani
Millen Magese akienda kuweka shada la Maua kwenye kaburi la marehemu
Steven Kanumba.
PICHA ZAIDI INGIA HAPA FULL SHANGWE BLOG
PICHA ZAIDI INGIA HAPA FULL SHANGWE BLOG
No comments:
Post a Comment